Unapokuwa umesafiri na uko ugenini ni chakula gani unachokitamani sana? | Media Center | DW | 13.08.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Unapokuwa umesafiri na uko ugenini ni chakula gani unachokitamani sana?

Watu wengi wamezoea vyakula vya kule wanakotoka kiasi cha kwamba wanapokuwa ugenini, watafanya kila hila ili wapate chakula cha kule wanakotoka wao. Katika Vijana Mubashara leo tunakuuliza je, ni chakula gani unachokitamani sana unapokuwa umesafiri na uko sehemu ngeni?

Sikiliza sauti 09:00