1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unaifahamu siku ya mbu duniani?

Sylvia Mwehozi
20 Agosti 2018

Tarehe 20 Agosti ni siku ya mbu duniani. Ndiyo! Siku hii huadhimishwa ili kumkumbuka daktari wa Uingereza Sir Ronald Ross, ambaye mwaka 1897 aligundua uhusiano baina ya mbu na ugonjwa Malaria. Siku hii ni maalumu kujenga uelewa kuhusu mbu kama chanzo cha Malaria na namna ya kuthibiti ugonjwa huo. Papo kwa Papo 20.08.2018.

https://p.dw.com/p/33RNB