Umuhimu na madhara ya miwani | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 14.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Umuhimu na madhara ya miwani

Miwani hutumika kimatibabu, kupunguza mwanga mkali mfano unapochomelea vyuma au mwanga mkali wa jua. Wengine huvaa miwani kama chombo cha urembo. La muhimu kwa yote ni kufanya vipimo vya macho ili kubaini miwani gani inakufaa. Kwa wale wasiofanya vipimo, wanaweza kupata madhara mabaya. Tazama video hii ya Kurunzi ya Afya Yako ufahamu mengi zaidi.

Tazama vidio 02:31