1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sayansi

Ulishawahi kufikiria ikiwa mwezi ungepotea?

26 Septemba 2024

Ulishawahi kufikiria kama mwezi unaweza kupotea. Je ingekuwaje kama mwezi usingekuwepo? Labda usiku ungekuwa na giza nene? Yaani, ingekuwaje? Hili ndio swali. Tizama video hii kwanza kisha unipe maoni yako. #Kurunzi 26.09.2024

https://p.dw.com/p/4l7iz