1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Prof. Farouk Topan (kushoto) akizungumza na Mohammed Khelef.
Prof. Farouk Topan (kushoto) akizungumza na Mohammed Khelef.Picha: Mohammed Khelef

Ukuwaji na maharibiko ya Kiswahili

Mohammed Khelef
27 Agosti 2014

Yumkini changamoto kubwa kuliko zote kwa wapenzi wa lugha ya Kiswahili ni kuiendeleza lugha hiyo na wakati wakiingiza maneno na miundo ya lugha za kigeni zilizo mbali kabisa na utamaduni wa Mswahili.

https://p.dw.com/p/1D2mY

Katika sehemu hii ya mfululizo wa makala za Kiswahili Kina Wenyewe, Mohammed Khelef anazungumza na mwandishi na mtaalamu wa Kiswahili, Prof. Farouk Topan, juu ya dhana ya ukuwaji na mabadiliko ya lugha ya Kiswahili. Je, Kiswahili kinakumbwa na mabadiliko gani kwa sasa? Na je, kukuwa na kubadilika kwa Kiswahili kunamaanisha kuiondoa lugha hiyo kwenye asili yake?

Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Josephat Charo