″Ukimwi wasahaulika DRC″ | Matukio ya Afrika | DW | 10.02.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

"Ukimwi wasahaulika DRC"

Shirika la Madaktari Wasiokuwa na Mipaka linasema katika ripoti yake ya mwaka huu kwamba Ukimwi ni ugonjwa uliosahaulika kabisa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo licha ya kuwapo watu wengi wanaoguwa ugonjwa huo.

Kampeni dhidi ya Ukimwi.

Kampeni dhidi ya Ukimwi.

Katika makala hii ya Afya Yako, Saleh Mwanamilongo anaiangalia picha halisi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi na ugonjwa wenyewe katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama za spika za masikioni hapo chini.

Makala: Afya Yako
Mada: "Ukimwi wasahaulika DRC"
Mtayarishaji: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada