1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukarabati wa barabara mbovu waanza mkoani Ituri nchini Congo

Jean-Noel Bamweze30 Septemba 2022

Hali ya barabara ni mbaya sana katika maeneo mengi za mkoa wa Ituri huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Lakini katika siku za karibuni, kampuni inayomilikiwa na Mkongomani mmoja ikishirikiana na serikali ya Kongo tayari imeanza ukarabati wa baadhi ya barabara hizo. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Jean-Noel Ba-mweze.

https://p.dw.com/p/4Ha1t