Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC
18 Aprili 2013Matangazo
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa uliotembelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutathmini kazi inayofanywa na kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kusimamia amani nchini humo, leo unakamilisha ziara yake ya karibu wiki moja, ambayo imewapatia fursa wajumbe hao kuelewa hali inayojiri katika mkoa wa Kivu ya kaskazini,mashariki mwa nchi hiyo.
John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma.Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
:
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman