1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yatahadharisha kuhusu ongezeko la maambukizi ya corona kwa wasiochanjwa

4 Novemba 2021

Waziri wa Afya wa Ujerumani Jens Spahn ametahadharisha kuhusu ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona hasa miongoni mwa watu ambao hawajapata chanjo. Waziri huyo ametaka hatua zaidi kuchukuliwa kuepusha maambukizi zaidi.

https://p.dw.com/p/42Za2