Ujerumani yaimwagia Tanzania mabilioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 16.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Ujerumani yaimwagia Tanzania mabilioni

Ujerumani imetangaza kuipatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 25 za kitanzania zitakazotumika katika utunzaji wa maeneo ya utalii ya hifadhi tatu za Serengeti, Mahale na Katavi.