Ujasiriamali wakati wa janga la COVID-19 visiwani Zanzibar | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 11.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Ujasiriamali wakati wa janga la COVID-19 visiwani Zanzibar

Wakati janga la virusi vya corona lilipohanikiza visiwani Zanzibar mwanzoni mwa mwaka huu wanawake walitumia kadhia hiyo kuwa fursa kwa kutengeneza barakoa, sabuni ya maji na vitakasa mikono ‘sanitizers’ ambavyo vilitumika sana katika mapambano dhidi ya Corona. Ungana na Salma Said katika makala ya Wanawake na Maendeleo.

Sikiliza sauti 09:47