Uhaba wa pedi unavyowafanya wasichana wakose masomo Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 27.01.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Uhaba wa pedi unavyowafanya wasichana wakose masomo Kenya

Asilimia 61 ya wanafunzi wa kike nchini Kenya hukosa masomo mara kwa mara kwa sababu hawana sodo ama pedi kwa ajili ya kujisitiri wanapopata hedhi. DW inaangazia makundi yanayosaidia wasichana hao.

Sikiliza sauti 09:45

Sikiliza kipindi kuhusu makundi yanayosaidia wasichana wakati wa hedhi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com