Uganda: Vitisho vya mara kwa mara | Mapambano dhidi ya mauaji ya albino | DW | 29.04.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Mapambano dhidi ya mauaji ya albino

Uganda: Vitisho vya mara kwa mara

Nchini Uganda na Afrika mashariki, watu walio na ulemavu wa ngozi huishi maisha yenye changamoto nyingi tangu utotoni mwao. Lakini kadri wanavyokua, baadhi hujenga nia ya kujiamini kukabiliana na hali mbalimbali.

Mwandishi wetu wa Kampala Emmanuel Lubega amezungumza na walemavu wa ngozi wakiwemo makanga na muuguzi.

Kusikiliza ripoti yake, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com