Uganda: Rais Museveni kuwania tena urais mwaka 2016 | Matukio ya Afrika | DW | 10.02.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Uganda: Rais Museveni kuwania tena urais mwaka 2016

Wabunge wa chama tawala nchini Uganda kwa kauli moja wanamtaka kiongozi wa chama chao ambaye pia ni rais wa nchi hiyo Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwania urais tena kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka wa 2016.

Rais Yoweri Museveni wa Uganda

Rais Yoweri Museveni wa Uganda

Rais Museveni amekuwa mamlakani kwa kipindi cha miaka 28. Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda na taarifa zaidi. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Leyla Ndinda

Mhariri: Saumu Yusuf

Sauti na Vidio Kuhusu Mada