Uganda: Mazungumzo kati ya serikali ya DRC na waasi wa M23 | Matukio ya Afrika | DW | 07.12.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Uganda: Mazungumzo kati ya serikali ya DRC na waasi wa M23

Ujumbe wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo upo kwenye mji mkuu wa Uganda, Kampala, kushiriki mazungumzo na kundi la waasi la M23.

Jean-Marie Runiga Mkuu wa kundi la waasi M23

Jean-Marie Runiga Mkuu wa kundi la waasi M23

Taarifa za hivi karibuni zimeeleza kuwa ujumbe wa kundi hilo la M23 pia uko njiani kuelekea Kampala. Kabla ya mazungumzo hayo mwandishi wetu John Kanyunyu, aliyeko sasa mjini Kampala kufuatilia mazungumzo hayo, amezungumza na mratibu wa mashirika ya kiraia katika mkoa wa Kivu Kaskazini Moustafa Mwite ambaye pia yuko mjini Kampala, na kwanza amemuuliza mashirika ya kiraia yanatarajia nini kutoka kwenye mazungumzo haya?

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada