Uganda: Mahakama yatupilia mbali kesi dhidi ya vifo vya mama wajawazito | Matukio ya Afrika | DW | 05.06.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Uganda: Mahakama yatupilia mbali kesi dhidi ya vifo vya mama wajawazito

Mahakama ya kikatiba imetupilia mbali kesi dhidi ya serikali ambayo iliwasilishwa bungeni na wanaharakati wa kutetea haki za wamama wajawazito.

Akina mama wakiwa mahakamani

Akina mama wakiwa mahakamani

Wanaharakati walitaka serikali iwajibike kwa vifo kumi na sita vya wamama wajawazito wanaofariki kila siku wakijifungua.

Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda alikuwa mahakamani na kututumia ripoti ifuatayo.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Leyla Ndinda

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada