Uganda kuendelea kuwashikilia raia 310 wa Rwanda, 130 waachiliwa | Matukio ya Afrika | DW | 05.06.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Uganda kuendelea kuwashikilia raia 310 wa Rwanda, 130 waachiliwa

Mahusiano kati ya Rwanda na Uganda, bado yanalegalega licha ya makubaliano yaliyotiwa saini nchini Angola kujaribu kuondoa msuguano uliopo. Uganda imetangaza kuwaachia huru raia 130 wa Rwanda, lakini itaendelea kuwashikilia wengine 310 uamuzi ambao serikali mjini Kigali imeukosoa. Rashid Chilumba amezungumza na mchambuzi kutoka Uganda, Allly Mutasa kuhusu mzozo kati ya mataifa hayo jirani.

Sikiliza sauti 02:43