Uganda: Amama Mbabazi akamatwa na polisi | Matukio ya Afrika | DW | 09.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Uganda: Amama Mbabazi akamatwa na polisi

Polisi nchini Uganda inamshikilia Waziri Mkuu wa zamani Amama Mbabazi, ambaye mwezi uliopita alitangaza nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu baadaye mwaka ujao.

Uganda ehemaliger Premierminister Amama Mbabazi

Waziri Mkuu wa zamani Amama Mbabazi

Mbabazi alikamatwa alipokuwa anasafiri kutoka Kampala akielekea mji wa Mashariki wa Mbale alikotarajiwa kukutana na wafuasi wake. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel anayefuatilia habari hiyo kwa karibu alikuwepo mjini Mbale kwanza anaelezea ni sababu gani zilizoifanya polisi kumkamata Mbabazi.

Mwandishi Amina Abubakar

Mhariri Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada