Ufugaji wa kisasa nchini Ghana | Anza | DW | 27.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Ufugaji wa kisasa nchini Ghana

Kuna zaidi ya watu milioni 1.5 wasio na ajira nchini Ghana. Kwa mujibu wa takwimu za serikali zaidi ya mara mbili ya idadi hiyo ya watu inajihusisha na kazi zenye malipo duni. Kijana David Asare Asiamah amegundua fursa ya ufugaji baada ya kumaliza Shahada yake ya Uzamili, katika Chuo Kikuu cha Reading, Uingereza alirejea nyumbani na kuanza ufugaji katika mji mkuu wa Ghana, Mkoa wa Ashanti.

Tazama vidio 03:13