1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchumi unaodorora unaathiri vipi maisha ya mapenzi ya vijana?

13 Septemba 2019

Vijana wa Kiafrika wanapitia changamoto chungunzima katika maisha yao ya kila siku na mojawapo ikiwa ni changamoto ya uchumi mbovu. Lakini licha ya changamoto hizo, vijana wanaendelea na maisha yao ya kawaida ikiwemo kutafuta wapenzi na wachumba ila uchumi mbovu katika mataifa ya Afrika yanawaathiri kwa njia gani vijana? Sikiliza makala ya Vijana Mubashara.

https://p.dw.com/p/3PXGu