1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchovu na msuguano kufuatia masharti ya kudhibiti COVID-19

Daniel Gakuba12 Aprili 2021

Makala ya Mwangaza wa Ulaya leo hii inaangazia namna wakaazi wa nchi nyingi za bara la Ulaya wanavyoanza kuchoshwa na masharti ya kuzuia kasi ya kusambaa kwa virusi vya corona, hali inayosababisha msuguano na vyombo vya usalama.

https://p.dw.com/p/3rixB