Uboho una umuhimu gani katika mwili wa binadamu? | Masuala ya Jamii | DW | 28.02.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Uboho una umuhimu gani katika mwili wa binadamu?

Uboho ama kwa jina la kitaalam, Bone Marrow, ni ute unaopatikana ndani ya mifupa mirefu katika mwili wa binadamu huku kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha chembechembe za damu ambazo zina kazi mbalimbali mwilini. Kuna madhara gani yanayoweza kujitokeza endapo utashindwa kufanya kazi ipasavyo?

Sikiliza sauti 09:49