Twiga: Mnyama aliye hatarini kuangamia | Mada zote | DW | 04.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Twiga: Mnyama aliye hatarini kuangamia

Kufuatia ujangili wa muda mrefu dhidi ya twiga na vifaru, hatari zinazokumba twiga zimeanza kudhihirika wazi. Idadi ya wanyama hao warefu kuliko wote duniani inazidi kupungua.