1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Tuzo ya Charlemagne

Charlemagne ni tuzo inayotolewa kutambua kazi iliyofanywa katika kuimairsha muungano wa Ulaya. Inatolewa kila mwaka tangu 1950 na mji wa Ujerumani wa Aachen.

Tuzo inamuadhimisha Charlemagne, mtawala wa himaya ya Frankish na mwasisi wa kilichikuja kuwa Himaya Takatifu ya Warumi, alieishi na kuzikwa Aachen. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za karibuni za DW kuhusu Tuzo ya Charlemagne.