1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Thuringia

Thuringia ni jimbo la shirikisho lililoko katikati mwa Ujerumani lenye wakaazi zaidi ya milioni mbili tu. Linafahamika kama "moyo wa kijani" wa Ujerumani kutokana na misitu yake mikubwa.

Thuringia pia inafahamika kwa michezo ya majira ya baridi. Wakati wa zama za kati Thuringia ilikuwa katikati mwa maeneo ya Ujerumani na Slavic. Mji wake mkuu ni Erfurt, lakini mji wake maarufu zaidi na kitovu cha utamaduni ni Weimer, ambako washairi Wolfgang Goethe na Friedrich Schiller waliishi katika karne ya 19. Ukurasa huu unakukusanyia maudhui kuhusu Thuringia.

Onesha makala zaidi