1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Teknolojia ya kukuletea usingizi

30 Agosti 2018

Inaelezwa kwamba asilimia 10 hadi 15 ya watu wanakabiliwa na tatizo la kukosa usingizi. Watafiti Uholanzi wamevumbua app pamoja na roboti la kukusaidia kulala, kupambana na tatizo linalofahamika kama insomnia.

https://p.dw.com/p/343ZY
Roboti la usingizi
Picha: Somnox

FE: Sema Uvume-Technology that helps us fall asleep 14/15 - MP3-Stereo