You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Tatu Yahaya
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Tatu Yahaya
Taarifa zilizoonesha na Tatu Yahaya
Tanzania: Vitendo vya kikatili dhidi ya wanawake vikomeshwe
Visa vya dhuluma za kijinsia zimekuwa zikiripotiwa mara kwa mara na wakati mwingine wanaharakati wa haki za binadamu wanashinikiza hatua zaidi kwa vitendo vya dhuluma hasa kwa makundi ya wanawake wasichana na watoto. Baadhi ya vijana wanasema malaka hazijafanya vya kutosha kukomesha vitendo hivyo.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Tatu Yahaya
Taarifa na Tatu Yahaya
Fahamu maudhui yanayowavutia wasichana mitandaoni
Fahamu maudhui yanayowavutia wasichana mitandaoni
Wasichana wamekuwa na matumizi mbalimbali ya mitandao ya kijamii lakini wengi wao hukumbana na changamoto nyingi, ambazo wengine huwaachia alama mbaya, ni kipi hasa wanatakiwa kujifunza kabla ya kuingia katika ulimwengu wa kidijitali?
Msichana anayepigania kutokomeza ndoa za utotoni
Msichana anayepigania kutokomeza ndoa za utotoni
Mamilioni ya wasichana kila mwaka huathirika na ndoa za utotoni ambazo zinawakosesha haki ya msingi ya elimu, matatizo ya afya ya uzazi pamoja na kukosa malezi ya wazazi wao. Hayo ni maneno ya Jenniffer Fred, mwanaharakati aliyeamua kulivalia njuga na kusambaza elimu ili kutokomeza ndoa za utotoni. Na huyu leo ndio #msichana wetu #jasiri. #msichanajasiri #hakizawatoto #hakiyaelimu
Upasuaji wa kubadilisha nyonga Tanzania
Upasuaji wa kubadilisha nyonga Tanzania
#Kurunzi Afya leo inakupeleka moja kwa moja hadi hospitali ya taifa ya Muhimbili Tanzania, kufahamu zaidi juu ya upasuaji wa kuwekewa NYONGA BANDIA. Upasuaji huu hufanyika kutokana na kusagika mifumo na matatizo mengine yanayochangia.
Mhamasishaji wa afya ya akili mitandaoni
Mhamasishaji wa afya ya akili mitandaoni
Janeth ni msichana wa miaka 17 anayetumia mitandao ya kijamii kuwaelimisha vijana juu ya masuala ya afya ya akili na changamoto wanazokabiliana nazo. Japo vijana wengi hutumia mitandao, si wote ambao wanamuelewa. Lengo lake kuu ni kuona vijana wanatumia mitandao ili kuelimika na kufikia au kuzikamata nyadhifa mbalimbali.
Jasiri anaewapambania watoto Tanzania
Jasiri anaewapambania watoto Tanzania
Glorey Nisajile, ni msichana ambaye anawasaidia watoto watokao katika mazingira magumu na kuhakikisha kuwa wanapata mahitaji yao ya msingi, lakini lengo lake kubwa ni kuona watoto hawa wakijilinda kutokana na ukatili ambao mara nyingi hupitia. Anatamani kuona jamii ikiwasaidia watoto hawa na si kulisahau kundi hili.
Fundi selemala asieona namna anavyotaza fursa
Fundi selemala asieona namna anavyotaza fursa
Boniface Kienze, fundi uselemara ambaye licha ya changamoto ya uoni (upofu), ameweza kubuni na kutengeneza samani kwa zaidi ya miaka 20. Tazama safari yake alivyoanza na changamoto zinazomkabili kwa sasa ikiwemo kuaminiwa na wateja wake
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo