1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tathmini kuhusu mabadiliko ya baraza la mawaziri Tanzania

Saumu Yusuf13 Septemba 2021

Nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya baraza la Mawaziri. Kwa mara ya kwanza nafasi ya waziri wa Ulinzi amewekwa mwanamke-Bi Stergomena Tax. Je mabadiliko hayo yana maana gani kwa Tanzania? Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi kutoka Tanzania, Nassor Kitunda na kwanza anatoa mtazamo wake kuhusu hatua ya Rais Samia.

https://p.dw.com/p/40FZN

Ikumbukwe kuwa Bi Stergomena Tax aliwahi kuwa katibu mtendaji katika jumuiya ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC.