Tanzania: Ubadhirifu wa fedha za Umma | Matukio ya Afrika | DW | 12.04.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Tanzania: Ubadhirifu wa fedha za Umma

Maoni mbalimbali yanaendelea kutolewa nchini Tanzania juu ya ripoti ya mdhibiti mkuu na mkaguzi wa hesabu za serikali nchini humo, iliyomulika kiwango kikubwa cha ubadhirifu wa fedha za umma katika serikali hiyo.

Mji wa Dar Es Salaam nchini Tanzania

Mji wa Dar Es Salaam nchini Tanzania

Ripoti hiyo imeaziangazia sekta au idara ya ujenzi, nishati na madini kuwa miongoni mwa idara zinazokuwa na ubadirifu wa fedha za umma.

Hata hivyo swali linaloulizwa ni je tatizo liko wapi kiasi ya kuwapo ubadhirifu mkubwa wa mara kwa mara katika fedha za umma? Amina Abubakar amezungumza na Profesa Ibrahim Lipumba ni mtaalamu bingwa wa uchumi nchini Tanzania.Kusiikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Amina Abubakar

Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada