Tanzania: Tatizo la dawa bandia za tiba ya kifua kikuu
8 Februari 2013Matangazo
Uchunguzi huu umefanywa katika miji 19 na nchi 17 zikiwemo Kenya, Uganda,Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Zambia na Tanzania. Kutoka huko Tanzania Sudi Mnette amezungumza na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dokta Hussein Mwinyi na kwanza alimuuliza hali ikoje Tanzania. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman