Tanzania: Sakata la wabunge Dodoma kutaka kuiangusha serikali | Matukio ya Afrika | DW | 23.04.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Tanzania: Sakata la wabunge Dodoma kutaka kuiangusha serikali

Nchini Tanzania, Waziri mkuu Mizengo Pinda leo anatarajiwa kutoa taarifa bungeni leo kufuatia sakata la bunge kuwataka mawaziri kadhaa wajiuzulu.

Jumla ya Mawaziri wanane wanakabiliwa na shutuma za ubadhirifu na baadhi ya wabunge wametishia kuitisha kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu na serikali yake. Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa Dr Benson Bana ambaye ni mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam na kwanza anaelezea mtazamo wake kuhusu sakata hili lilipofikia .

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mahojiano:Saumu Mwasimba / Dr Bana

Mhariri: Moahammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada