1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Nakisi ya Bajeti kuongezeka kwa asilimia kumi na tano

26 Julai 2012

Serikali ya Tanzania imekadiria nakisi yake ya bajeti kwa kipindi cha mwaka wa fedha Julai 2011 hadi June 2012 itaongezeka kufikia asilimia 15 ya pato jumla,kwa sababu ya ongezeko la uagizaji mafuta na gesi kutoka nje.

https://p.dw.com/p/15ep8
Kikao cha Shirika la fedha la kimataifa IMF
Kikao cha Shirika la fedha la kimataifa IMFPicha: Reuters

Hayo ni kwa mujibu wa barua iliyoitumwa kwa Shirika la fedha la kimataifa IMF. Kutaka kujuwa chanzo cha hali hiyo Sudi Mnette amezungumza na Profesa wa Uchumi Ibrahim Lipumba aliyeko mjini Dar es salaam ambaye kwanza alikuwa na haya ya kueleza.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za maskioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Moahammed Abdul-Rahman