Tanzania: Mwanafilamu maarufu Steven Kanumba azikwa leo
10 Aprili 2012Matangazo
Muda huu, watu mbalimbali wanauaga mwili wake katika mazishi ya kitaifa katika viwanja vya Leaders Club, ambapo mwandishi wetu Aboubakar Liongo anahudhuria pia.
(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Pendo Paul
Mhariri: Mohamed Abdulrahman