Tanzania: Muziki popote | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Tanzania: Muziki popote

Kutana na kundi la vijana linalofanya muziki kwenye ufukwe wa Coco jijini Dar es salaam, Tanzania. Licha ya kujipatia rizki wanatumia fursa hiyo pia kukuza vipaji vyao. Ingawa wanapata changamoto kwenye shughuli zao, malengo yao ni makubwa. Msimulizi ni mwandishi wa habari 'anayeinukia' Hadija Halifa

Tazama vidio 02:50