1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Madereva wa bodaboda Mtwara waelimishwa kuhusu uendeshaji salama

15 Mei 2020

Jeshi la polisi kupitia kitengo cha usalama barabarani limeanzisha kampeni maalumu inayojulikana kama darasa kijiweni inayolenga kuwapatia elimu waendesha bodaboda ili kuepuka ajali zinazosababishwa na ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani.

https://p.dw.com/p/3cHV1