Tanzania: Godbless Lema wa chama cha Chadema avuliwa Ubunge | Matukio ya Afrika | DW | 05.04.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Tanzania: Godbless Lema wa chama cha Chadema avuliwa Ubunge

Godbless Lema, mwanachama wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania sio mbunge tena. Asubuhi ya leo, Jaji Gabriel Rwakibarila ametoa hukumu na kumvua ubunge wa Jimbo la Arusha mjini.

Mji wa Arusha alikovuliwa ubunge Godbless Lema

Mji wa Arusha alikovuliwa ubunge Godbless Lema

Awali Pendo Paul amezungumza na mwandishi wetu Nicodemus Ikonko aliyekuwepo katika mahakama hiyo mjini Arsuha, na anaanza kwa kueleza sababu zilizochangia kufikia uamuzi huo.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Pendo Paul

Mhariri: Saumu Yusuf

Sauti na Vidio Kuhusu Mada