Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Maafisa wa forodha mjini Hamburg Ujerumani, wamekamata takribani tani 16 za dawa za kulevya aina ya cocaine katika makontena matano yakitokea Paraguay.
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3ptEh
Washukiwa 350 wa kundi hatari la mafia linaloitwa Ndrangheta wanashtakiwa kwenye kesi hiyo ya kwanza kushuhudiwa katika kipindi cha miongo kadhaa nchini Italia. Ndrangheta ni kundi lililoingia kwenye mabara yote ya dunia