1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Takataka ni fursa ya ajira Tanzania

9 Agosti 2019

Wengi hutupa taka bila nakuwa na fikra ya kuwamba wakati mwengine taka taka hizo huwa na thamani na zinaweza kuwa kama kitega uchumi kwa wengi katika jamii mbalimbali. Sikiliza makala ya Mtu na Mazingira yaliyoandaliwa na Deo Kaji Makomba.

https://p.dw.com/p/3Nequ