1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 20.05.2022

20 Mei 2022

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, asema vikosi vya Urusi vyaongeza mashambulizi yake katika eneo la Donbas, bunge la seneti la Marekani launga mkono msaada wa takriban dola bilioni 40 kwa Ukraine na Rwanda yatarajia kundi la kwanza la wanaotafuta hifadhi kuhamishwa kutoka Uingereza kufikia mwisho wa mwezi huu

https://p.dw.com/p/4Bbg2