1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 15.11.20

15 Novemba 2020

Wafuasi wa Donald Trump waandamana mjini Washington, Armenia imedai kuzuia njama ya mauaji dhidi ya Waziri Mkuu, Makombora yarushwa katika mji mkuu wa Eritrea, Vifo vya Covid 19 vyapindukia 1, 305, 039 duniani kote, WFP yaonya juu ya baa la njaa mwaka ujao, Maafisa Libya: Katiba iidhinishwe kabla ya kufanyika uchaguzi.

https://p.dw.com/p/3lJIs