1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi - 04.06.2019

4 Juni 2019

Jeshi la Sudan latangaza kufuta makubaliano na waandamanaji na kuitisha uchaguzi ndani ya miezi tisa.Malkia wa Uingereza Elizabeth II na rais wa Marekani Donald Trump, wasisisitiza umuhimu wa uhusiano baina ya mataifa. Na mawakili wa haki za binadamu waushtaki Umoja wa Ulaya ICC kuhusiana na vifo vya wahamiaji katika bahari ya Mediterania.

https://p.dw.com/p/3JmX2