Taarifa ya habari ya asubuhi 30.05.2019 | Media Center | DW | 30.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Taarifa ya habari ya asubuhi 30.05.2019

Wabunge Israel waidhinisha bunge kuvunjwa na kuitisha uchaguzi mpya. Mchunguzi maalum wa Marekani Robert Mueller ametoa kauli inayoashiria kwamba ofisi yake ilishindwa kumfungulia mashitaka rais aliyeko madarakani. Pande zote Venezuela zashindwa kuafikiana katika mazungumzo ya Norway.

Sikiliza sauti 08:00