1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya Asubuhi 29.12.2020

V2 / S12S29 Desemba 2020

Rais mteule wa marekani aushutumu utawala waTrump kwa kuzuia taarifa za usalama wa taifa. Takribani Vituo 800 vya kupiga kura nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati havikuendesha zoezi la kupiga kura. Na Urusi yampatia muda wa mwisho mwanasiasa wa upinzani Navalny kurejea nyumbani

https://p.dw.com/p/3nIs7