Rais wa Marekani Joe Biden atambua mauaji ya Armenia kama mauaji ya kimbari. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel atetea sheria kali zilizowekwa kukabilina na corona. Na Viongozi wa Asia ya Kusini wasema wamekubaliana na mkuu Jeshi la Myanmar kusitisha mgogoro