1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 24.09.2021

V2 / S12S24 Septemba 2021

Viongozi wa Afrika wameelezea Ukosefu wa usawa katika usambazaji wa chanjo za Covid-19 kwenye mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa. Kiongozi wa zamani wa Catalonia Puigdemont akamatwa Italia. Ufaransa na Marekani zajadili kurekebisha uhusiano wa nchi hizo mbili.

https://p.dw.com/p/40ml2