1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

9 Julai 2021

Rais wa Marekani Joe Biden asema hakuna shaka kwamba Afghanistan haitoingia mikononi mwa Taliban//Watu 2 raia wa Haiti na Marekani wakamatwa kuhusiana na mauaji ya Rais Jovenel Moise//Na Umoja wa Mataifa waunga mkono Umoja wa Afrika kupata suluhu la mzozo wa bwawa la Ethiopia.

https://p.dw.com/p/3wFbo