1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Babu Abdalla16 Aprili 2021

UN: Ubakaji unatumiwa kama silaha za vita Tigray, Marekani yawatimua mabalozi wa Urusi, Umoja wa Mataifa yatoa wito kwa pande zinazohasimiana Yemen kukubali mpango wa amani, Mkuu wa kampuni ya chanjo ya Pfizer atetea ghrama ya juu ya chanjo hiyo

https://p.dw.com/p/3s5pj