1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

14 Aprili 2021

Rais wa Marekani Joe Biden kuwaondoa wanajeshi wote wa Marekani Afghanistan kufikia Septemba 11//Afisa wa polisi aliyemuua mtu mweusi Marekani ajiuzulu//Na Ujerumani kutoa chanjo ya pili tofauti kwa waliochomwa chanjo ya Astrazeneca mwanzo.

https://p.dw.com/p/3ryCU