Marekani yasimamisha mafunzo ya wanajeshi wa Saudi Arabia baada ya shambulizi la Florida//Waziri Mkuu wa Myanmar kutoa ushahidi leo katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC//Na Umoja wa Mataifa wasema makundi kadhaa ya wapiganaji waliojihami wanashiriki vita vya Libya