1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

19 Septemba 2019

Rais Donald Trump amchagua Robert O'Brien kuwa mkurugenzi mpya wa usalama wa kitaifa Marekani//Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu asisitiza kwamba atatafuta kuongoza serikali ya muungano ya nchi hiyo//Na Italia na Ufaransa wakubaliana ugawanyaji wa moja kwa moja wa wahamiaji katika nchi za Umoja wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/3Pqmt